Weka ziara ya bure
Tembelea shamba au nyumba pamoja na timu yetu. Tutathibitisha kwa simu au WhatsApp wakati wa saa za kazi.
Utapata nini kwenye ziara
- Kuona mipaka (beacons) ya kiwanja na barabara
- Maelezo ya bei, mipango ya malipo na hati
- Kuona huduma zilizo karibu: shule, maduka, maji na umeme
- Ziara kwa simu ya video ikiwa uko nje ya nchi
Unapenda kuongea? Piga 0795 908 908 au tutumie WhatsApp.
